Hi Jamii
ninahitaji food suppliments kwa maana ya vidonge ambavyo vitanipa nguvu kidogo........si kwmba sina nguvu..it happened cd4 zinashuka kwa kasi japo siumwi...nahitaji kuzipandisha.nakula vizuri ila weight loss nimeiobserve..sijaanza kutumia arv na nisingependa kuzianza now...nakula vizuri na ninapumzika pia.asanteni