Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

mi niliiangalia kwa siku kama nne ndo nikaimaliza.. it was boring and boring!

sijui kwanini nilipoteza elfu elfu zangu kununua copy.. its boring

haha poleh mkuu..cjawah nunua bongo movie yn nakosa mshawasha,hii hapa was about to
 
Sie tunaoandika ni kama tunajipendelea vile kwani wengi wetu kama sio wote tunaamini uzuri ama ubovu wa movie unategemea sana na script. Tunaamini kwamba, script ikishakuwa mbaya, na bahati mbaya ukapata Director mbaya, au hata kama ni mzuri akaacha kuibomoa script, basi hata kama utachukua waigizaji kutoka Hollywood, movie itakuwa mbaya tu; piga ua! Lakini ukishakuwa na tight script, hata kama utachukua amateur actors, filamu/movie nayo itakuwa tight. WHY? Suala la kuandika ni inner feelings inayotegemeana sana na talent especially kwa sehemu ambayo haina formal screenwriting training. Kama script inasema Character X anakimbia kutokana na hofu lakini badala yake akawa anakimbia kama vile anafanya mazoezi, ni rahisi Director kuona na kumwambia “No that way, kimbia huku mara moja moja ukiwa unaingilia nyuma kuonesha una hofu!” lakini si rahisi mtu kumwambia “no andika hivi!” coz’ anafanya hivyo huku akiwa amejifungia chumbani kwake na alichokiweka kwenye karatasi ndiyo his/her inner feeling! So, mwandishi anapoandika wakati hamna well structured plots zilizobeba important plot factors such as well framed events zenye bums za hapa na pale, no clear reason why particular even happens, no dramatic conflict, etc! Katika mazingira kama hayo always utatengeneza movie ambayo iko very flat and boring coz’ the script itself is flat and boring. Hata kama utachukua waigizaji kutoka Hollywood, kama nilivyosema movie itakuwa mbaya tu ima faima!

Tatizo hapa kwetu, mtu akicheza filamu mbili tatu anaamua kutengeneza yak wake. Mbaya zaidi hata yale ambayo hayafahamu atataka kufanya mwenyewe ikiwamo kuandika script! Trust me, wasanii hawa hawa waliopo kama wanapata tight script; mwenyewe utashangaa! Tatizo ni kwamba, wao wanafanya biashara lakini mtu ukimwambia angalau atoe 1 million kwa script, ataona nyingi!
 
Lulu angetulia kwanza kabla hajatoa hiyo filamu ya Foolish Age. Timing mbaya maana bado public haijamkubali baada ya kifo cha Kanumba.
 
Lulu angetulia kwanza kabla hajatoa hiyo filamu ya Foolish Age. Timing mbaya maana bado public haijamkubali baada ya kifo cha Kanumba.
HAPANA, timing ilikuwa mzuri sana lakini wameshindwa kutumia opportunity. Kwanza, jina la filamu ni Foolish Age..jina peke yake ni bonge la brand kutokana na yale ambayo yamemkuta Lulu hivyo am certain watu wananunua huku wakitarajia kuona misukosuko ya Lulu hadi kifo cha Kanumba. Anyway, kwavile kesi ipo mahakamani; isingewezekana kueleza hayo mambo lakini mwandishi angekuwa mbunifu angeweza kuandika matukio ambayo moja kwa moja yana-reflect foolish age stuffs na yale ya Kanumba in other way round...watu wangeridhika.

Kwa hakika timing ilikuwa right lakini wameshindwa kutumia fursa!
 
Back
Top Bottom