UpoDiaaaaaaa
Namimi nije tujadili wote[emoji85] [emoji85]Kaka nimejaribu kukucheki Sikupati, hebu Tuwasiliane kuna machache ya kujadili
Hapo sawaKweshnei
Sawa kabisa! Kwa Tanzania sasa ni rasmi! April mosi ni Bashite day!Kwa sasa hii ni Bashite Day.
Moja ya vitu vinavyonikera ni pamoja na ibada ya ngono, iliyopewa jina la Valentine day!!! Na hili dude linaloitwa fools' day. Hivi ni vitu ambayo vimeletwa na vyombo vya habari, bila kujua uharibifu wake kwetu kama taifa. Tuige mazuri sio ya hovyo hovoo kama haya mawiliWatz ni watu wa kufade up things fools day imepotezewa kama ilivyopotezewa Valentine day! Safi sana ila Watz tupunguzeni uboya na kushadadia mambo ya nje [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
In the next few hours tutaona impact
Hizi ni tamaduni zilizopigiwa chapuo kubwa na vyombo vyetu vya habari kwa tamaa ya kutengeneza bila kuangalia madhara ya mbeleniMoja ya vitu vinavyonikera ni pamoja na ibada ya ngono, iliyopewa jina la Valentine day!!! Na hili dude linaloitwa fools' day. Hivi ni vitu ambayo vimeletwa na vyombo vya habari, bila kujua uharibifu wake kwetu kama taifa. Tuige mazuri sio ya hovyo hovoo kama haya mawili
Nipo Wangu,hatuonani Siku Hz?