Fools day imepotezewa

Fools day imepotezewa

Kama tumefika hapa Allahmdulillah. Mana ilikuwa inaongeza umaskini.
 
Ni kweli kabisa mmoja wapo ni Mimi nimepotezea tupa kule..... mavitu ya kijinga kijinga kama haya hayana maana kwa sasa.....
 
Watz ni watu wa kufade up things fools day imepotezewa kama ilivyopotezewa Valentine day! Safi sana ila Watz tupunguzeni uboya na kushadadia mambo ya nje [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
In the next few hours tutaona impact
Moja ya vitu vinavyonikera ni pamoja na ibada ya ngono, iliyopewa jina la Valentine day!!! Na hili dude linaloitwa fools' day. Hivi ni vitu ambayo vimeletwa na vyombo vya habari, bila kujua uharibifu wake kwetu kama taifa. Tuige mazuri sio ya hovyo hovoo kama haya mawili
 
Hizi ni tamaduni zilizopigiwa chapuo kubwa na vyombo vyetu vya habari kwa tamaa ya kutengeneza bila kuangalia madhara ya mbeleni
 
Back
Top Bottom