- Thread starter
- #21
Tayari kifoMkuu toa maelezo vizuri FIC imecollapse au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari kifoMkuu toa maelezo vizuri FIC imecollapse au
Immecollapse au WAMEIFUNGA? yani hata hilo hujui???Server imecollapse
Sawa
Joh makiniNyumbu again!!
Nawavua kama samaki wa ocean sijui nani aliimba hii ngoma
Hakuna kitu kizuri kama kuwa tapeli ukiwa na mtaji.Server imecollapse
Angalia leseni yao. Leseni huandikwa imetolewa kwa biashara fulani hivyo ukiona kinachofanywa ni tofauti jua hapo majanga. Hata hivyo pesa ilivyo ngumu kuipata unaamini vipi kuna mtu anazo za kugawa tu? Hata Elon Musk hana za kugawa.Ndiyo tunapaswa kuelimisha jamii hasa kwa mambo yafuatayo
1. Je unawezaje kujua hii ni kampuni salama ya uwekezaji??
2. Inakuwawaje kampuni inasajiliwa na Inafanya kazi kwa kulipa Kodi kwa maana ya kutambulika na TRA na pia imesajiliwa na BRELA,
Wao hutumia kigezo Gani ili kusajili haya makumpuni na kutoa leseni.?
3. Je mamlaka husika zilizotoa kibali kwa kampuni kuendesha shughuli zake Huwa zinachukua hatua Gani kampuni yeyote Ile ya uwekezaji ikiondoka na Pesa za watanzania.?
Waathiriwa watakuwa ni wale waliopigwa kwenye, DECI, Kalynda, sunranch, MTFE, etc. Waitwe wawekwe sehemu moja wapewe semina ili Ponzi nyingine isipite naoBado vilio vipo chini chini,so Gvt ikifatilia wahanga watajitokeza,then Amount ambazo wamepinga zitajulikana kwa uwazi.Hii utakuwa Moja ya Ponzi ambayo itakuwa imevunja rekodi kwa kutapeli hapa Tanzania.
Matapeli wapya mjini.Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments.
Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
View attachment 3130546