Football (facts file)

Football (facts file)

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
FACT 😀😀
Je, wajua beki wa Yanga SC. Lamine Moro ana magoli mengi (3) kuzidi jumla ya magoli ya Bwalya, Mkude, Ajibu, Morrison, Kahata, Ilanfya?

FACT 😀😀
Je, wajua Bernard Morrison tangu ajiunge na simba hajawahi maliza dakika tisini VPL?

FACT 😀😀
Je, wajua bei ya jezi moja ya Yanga sh. 45000 hiyo hela unaweza kununulia jezi 9 za simba kwa bei ya jumla ya sh.5000?

Tupia yako.
 
FACT 😀😀
Je wajua Mo Dewji hajatoa hata shilingi 100 kwenye hisa za 49% alizo wekeza kwenye club ya Simba Sc
 
FACT 😀😀

Je wajua mechi kati ya Yanga sc Vs Simba sc ambayo inajulikana kama derby ya kariakoo...Timu ya Simba sc ilijiwekea rekodi mpya ya kutokupiga shoot on target firs half.
 
mbona mambo yakiutopolo tuu humu ahh
 
FACT 😀😀😀

Je wajua timu ya yanga ndio inaongoza kwa mauzo ya jezi zao mpya...ingawa bei ya jezi hizo ni ghali kuliko jezi za timu zote VPL.
 
FACT 😀😀😀

Je wajua Fei salum maarufu kama fei toto hakupoteza pasi hata moja mpaka dakika tisini zinamalizika kwenye mechi kati ya Yanga Vs Jkt.
 
FACTS 😀😀😀

Kocha wa yanga cedrik kaze (kazelona) amefundisha 96% ya timu zote zinazo shiriki ligi kuu burundi..
 
FACT 😀😀😀

Kiungo mkabaji wa yanga "Serge mukoko Tonombe' ndie anaeongoza kupokonya mipira ya wapinzani mara nyingi zaidi... kuliko kiungo yeyote VPL.
 
FACT 😀😀😀

Je wajua timu ya "Young African' (yanga) kutoka Tanzania.. ndio timu pekee East africa na Africa kuchezeza mechi (27) bila kupoteza mchezo wowote tangu march 2020.
 
FACT 😀😀😀

Timu ya Simba sc ilipoteza michezo yote ya VPL...ambayo Kiungo wao mshambuliaji kutoka zambia Claotous Chama alikosekana.
 
FACT 😀😀

Mechi kati ya Azam fc Vs Young African sc.. Club ya Azam ilijiwekea rekodi mpya baada ya wachezaji wake kushindwa kupiga shoot on target dakika zote 90 yaani zero shoot on target.
 
FACT 😀😀😀

Hii ndio list ya mabeki 3 waliotoa mchango mkubwa mpaka sasa katika timu zao kuhakikisha zinasepa na point
1.Lamine moro.
2.Juma nyosso.
3.Joash onyango.
4.Bakari mwanyeto.
 
Je wajua Mke wa Haji Manara ni shabiki mkubwa kindaki ndaki wa Yanga .

Je wajua Haji Manara amesusiwa na viongozi hata harusini hawakuhudhuria wala kupost picha kwenye page zao za mitandao ya kijamiii
 
FACT 😀😀😀

'Metacha mnata" kipa namba 1 wa yanga. ndio kipa pekee aliefungwa magoli machache (4) VPL..mpaka sasa hajaruhusu bao lolote katika mechi 15 toka march 2020.
 
FACT 😀😀😀

Simba Sc imewa'acha kambini wachezaji zaidi ya wanne kwenye safari yao ya mchezo dhidi ya mbeya city..
Kocha wao amefafanua kua hawapo kwenye mpango na pia kuepusha gharama 😀

Nyota walio achwa.. Bwallya,morrison,ajibu,ilanfya na wengine watatu..
 
FACT 🙂🙂

Kiungo wa zamani wa Simba Sc "Gerson Fraga' alikua ndio mchezaji anaelipwa zaidi ya M12 mshahara mkubwa kuliko mchezaji yoyote klabuni hapo.
 
FACT 😀😀😀

'Metacha mnata" kipa namba 1 wa yanga. ndio kipa pekee aliefungwa magoli machache (4) VPL..mpaka sasa hajaruhusu bao lolote katika mechi 15 toka march 2020.
Wewe utopolo unawapotosha utopolo wenzio. Huyo aliyetobolewa hapo juzi juzi mlipocheza dhidi ya Ruvu na Namungo ni nani?
 
Wewe utopolo unawapotosha utopolo wenzio. Huyo aliyetobolewa hapo juzi juzi mlipocheza dhidi ya Ruvu na Namungo ni nani?
Soma kwa makini bwa' mdogo 😀😀
FACT 😀😀😀

'Metacha mnata" kipa namba 1 wa yanga. ndio kipa pekee aliefungwa magoli machache (4) VPL..mpaka sasa hajaruhusu bao lolote katika mechi 15 toka march 2020.
 
Back
Top Bottom