Football (facts file)

Football (facts file)

FACT 😀

Club ya Arsenal imefungwa mechi zote EPL tangu ishinde mechi yao dhidi ya manchester united
 
FACT.
Obafemi Martins alicheza match 88 akiwa Inter Milan na kufunga goli 28.
Alipohamia Newcastle United pia alicheza match 88 na kufunga goli 28 kama alvyofanya Inter Milan
 
FACT 😀

Lionel messi amefanikiwa kuvunja rekodi ya pele kwa kufunga mabao 644 kwenye klabu moja..
pele 643
messi 644
 
FACT 😀

Yanga ndio timu yenye vikombe vya ligi vingi kuliko timu yoyote tz.
 
FACT 😀

Juventus imepoteza mchezo wa kwanza msimu huu serie a kwa kupigwa 3 na fiorentina
Juventus 0:3 fiorentina

hivyo timu ambazo hazijafungwa Msimu huu ni Ac milan,rangers na yanga
 
FACT 😀

Lamine moro,ibrahim ajibu,bwalya na charles ilanfya kwa pamoja wana magoli 4 na yote hayo yamefungwa na lamine moro Usisahau kuwa moro ni beki 😀
 
FACT 😀

Lamine moro,ibrahim ajibu,bwalya na charles ilanfya kwa pamoja wana magoli 4 na yote hayo yamefungwa na lamine moro Usisahau kuwa moro ni beki 😀
John bocco , yasin Mustapha, kibwana shomari, Paul godfrey wote wamefunga magoli nane na yote yamefungwa na john bocco
 
Back
Top Bottom