Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
FACT πππmbona mambo yakiutopolo tuu humu ahh
Wewe utopolo unawapotosha utopolo wenzio. Huyo aliyetobolewa hapo juzi juzi mlipocheza dhidi ya Ruvu na Namungo ni nani?FACT πππ
'Metacha mnata" kipa namba 1 wa yanga. ndio kipa pekee aliefungwa magoli machache (4) VPL..mpaka sasa hajaruhusu bao lolote katika mechi 15 toka march 2020.
Soma kwa makini bwa' mdogo ππWewe utopolo unawapotosha utopolo wenzio. Huyo aliyetobolewa hapo juzi juzi mlipocheza dhidi ya Ruvu na Namungo ni nani?
FACT πππ
'Metacha mnata" kipa namba 1 wa yanga. ndio kipa pekee aliefungwa magoli machache (4) VPL..mpaka sasa hajaruhusu bao lolote katika mechi 15 toka march 2020.