Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
😅😅😅😅😅Una utani na mashabiki wa Simba. Kuna mmoja choka mbaya zaidi yangu ila nilimsikia anasema HATUMTAKI GOMEZ kwenye Simba yetu.
KabisaaaMpira wa miguu unaunganisha maadui.
Sasa hapa mkuu ,wakija wenyewe itakuwa vurumai😅😅Kuna wale wa Simba..
"Tuna hela sisi siyo kama nyinyi Utopolo ombaomba"[emoji23][emoji23]
Hapo hajui hata kodi ya nyumba ataipataje.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapa mkuu ,wakija wenyewe itakuwa vurumai[emoji28][emoji28]
Tuna kijana wetu akianza kubishaaa , utatamani umuombee shares Simba.Sasa hapa mkuu ,wakija wenyewe itakuwa vurumai[emoji28][emoji28]
Sidhani kama kulikuwa na uhitaji wa kusema "msaidizi wa kazi home" ila ile "kijana wetu" ilikuwa inatosha sanaTuna kijana wetu,(msaidizi wa kazi home) akianza kubishaaa , utatamani umuombee shares Simba.
Anaongeaga kwa uchungu"sista usituchukulie poa sisi tuna helaaa"
Siyo kwa ubaya lakini ananifurahisha.I just love the fact that ana spirit ya kupenda mpira kutoka moyoni.
Sawa mkuu, let me change.Sidhani kama kulikuwa na uhitaji wa kusema "msaidizi wa kazi home" ila ile "kijana wetu" ilikuwa inatosha sana
Nadhani wenye uelewa mzuri, watakuwa wameelewa vzr ninacho maanisha
Naomba kazi kwenuTuna kijana wetu akianza kubishaaa , utatamani umuombee shares Simba.
Anaongeaga kwa uchungu"sista usituchukulie poa sisi tuna helaaa"
Siyo kwa ubaya lakini ananifurahisha.I just love the fact that ana spirit ya kupenda mpira kutoka moyoni.
😅😅😅Naomba kazi kwenu
Kuna wale wa Simba..
"Tuna hela sisi siyo kama nyinyi Utopolo ombaomba"[emoji23][emoji23]
Hapo hajui hata kodi ya nyumba ataipataje.