Football is Funny

Football is Funny

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Soka au kabumbu kama wengine wapendavyo kuita au kama hutotumia neno mpira wa Miguu ni Burdani sana

Utamskia kijana asiye hata na Msosi getho akitegemea lishe ya Dingi na Bi mkubwa akisema

"Tumemnunua Ronaldo kwa $70 Million "

Namimi na city yangu Ngoja nikampige kwanza huyu nyumbu, tuonane baadae🤣

Football idumu milele
 
Sasa hapa mkuu ,wakija wenyewe itakuwa vurumai[emoji28][emoji28]
Tuna kijana wetu akianza kubishaaa , utatamani umuombee shares Simba.

Anaongeaga kwa uchungu"sista usituchukulie poa sisi tuna helaaa"

Siyo kwa ubaya lakini ananifurahisha.I just love the fact that ana spirit ya kupenda mpira kutoka moyoni.
 
Tuna kijana wetu,(msaidizi wa kazi home) akianza kubishaaa , utatamani umuombee shares Simba.

Anaongeaga kwa uchungu"sista usituchukulie poa sisi tuna helaaa"

Siyo kwa ubaya lakini ananifurahisha.I just love the fact that ana spirit ya kupenda mpira kutoka moyoni.
Sidhani kama kulikuwa na uhitaji wa kusema "msaidizi wa kazi home" ila ile "kijana wetu" ilikuwa inatosha sana

Nadhani wenye uelewa mzuri, watakuwa wameelewa vzr ninacho maanisha
 
Tuna kijana wetu akianza kubishaaa , utatamani umuombee shares Simba.

Anaongeaga kwa uchungu"sista usituchukulie poa sisi tuna helaaa"

Siyo kwa ubaya lakini ananifurahisha.I just love the fact that ana spirit ya kupenda mpira kutoka moyoni.
Naomba kazi kwenu
 
Back
Top Bottom