Baada ya kununuliwa na wachina priority yao ilikuwa kuwaongeza mikataba key players wao (Locateli,Suso,Donnaruma,Romagnoli) Raiola aliwaambia mwisho wa msimu ndio watadiscuss wamuache dogo acheze mpira
Proposal ya Raiola ilikuwa dogo aongeze mkataba waweke clause ili auzwe kwa bei kubwa na yeye apate ulaji lakini situation ilivyo Dollarumma atauzwa very cheap huenda isifike € 30 au free kabisa timu kama United,PSG,Man City,Inter,Chelsea,Juventus na Madrid zote zilikuwa zinampigia mahesabu
Kama dogo kweli anaipenda Milan na angetaka kubaki anashindwa nini kuachana na Raiola.Raiola anawasilisha anachotaka client wake na sio kumlazimisha