yellow wall
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 648
- 105
Alikua kwenye kiwango kizuri sana msimu uliopita, ila kuna uwezekano wa kuenda Hoffenheim kwa mkopo endapo bayern watamsajili SanchezMpaka Leo sijaelewa kwanini Wenger alimuacha Gnabry kirahisi rahisi.Dogo atakuja kutisha sana mbeleni
Dollarumma sio mtoto mdogo mpaka alazimishwe na Raiola,sidhani kama wakala anakulazimisha kuondoka timu unayoipenda.Raiola alipendekeza Milan waweke clause mpya kama Milan watashindwa kufuzu Champions league 2018/2019 klabu iruhusiwe kumuuza.Dogo mwenyewe ndio anataka kuondokaVinicius alikubali kuongeza mkataba ili anapouzwa madrid watoe hela nyingi, leo Donnaruma kakataa kuongeza mkataba na timu yake ya utotoni, 80k per week ameitema sababu ya mpuuzi mmoja tu Raiola
Jaribu kufuatilia vizuri mkuu, kwanza Raiola alichukizwa na kitendo cha ac millan kumu approach direct Donnaruma bila kupitia kwake kuhusu mkataba mpya na kumwambia achague moja kati ya timu au wakala, baadae milan wakaomba official meeting na Raiola ili wazungumze nae.Dollarumma sio mtoto mdogo mpaka alazimishwe na Raiola,sidhani kama wakala anakulazimisha kuondoka timu unayoipenda.Raiola alipendekeza Milan waweke clause mpya kama Milan watashindwa kufuzu Champions league 2018/2019 klabu iruhusiwe kumuuza.Dogo mwenyewe ndio anataka kuondoka
Jaribu kufuatilia vizuri mkuu, kwanza Raiola alichukizwa na kitendo cha ac millan kumu approach direct Donnaruma bila kupitia kwake kuhusu mkataba mpya na kumwambia achague moja kati ya timu au wakala, baadae milan wakaomba official meeting na Raiola ili wazungumze nae.
Kwenye hiyo meeting Raiola ndio akawaambia waweke release clause ya €10 millions endapo watashindwa ku qualify kucheza uefa, hapa ndio walipokuja kushindwana.
Alafu siku hizi mawakala ndio wana nguvu na say ya mwisho kuliko mchezaji mwenyewe
So kwenye hii saga nani wakulaumiwa, Agent, timu au dogo, Wenyewe?Baada ya kununuliwa na wachina priority yao ilikuwa kuwaongeza mikataba key players wao (Locateli,Suso,Donnaruma,Romagnoli) Raiola aliwaambia mwisho wa msimu ndio watadiscuss wamuache dogo acheze mpira
Proposal ya Raiola ilikuwa dogo aongeze mkataba waweke clause ili auzwe kwa bei kubwa na yeye apate ulaji lakini situation ilivyo Dollarumma atauzwa very cheap huenda isifike € 30 au free kabisa timu kama United,PSG,Man City,Inter,Chelsea,Juventus na Madrid zote zilikuwa zinampigia mahesabu
Kama dogo kweli anaipenda Milan na angetaka kubaki anashindwa nini kuachana na Raiola.Raiola anawasilisha anachotaka client wake na sio kumlazimisha
Dogo mwenyewe,So kwenye hii saga nani wakulaumiwa, Agent, timu au dogo, Wenyewe?