View attachment 251250
Manchester city bado wana haha kuipata saini ya mchezaji wa wolfsburg kelvin de bryune, wiki hii wamekutana na wakala wa mchezaji huyo lakini majibu aliyowapatia kasema "wiki ijayo nitaongea na wolfsburg kuhusu hatima ya mteja wangu kama watataka aendelee kubaki au aondoke".
In football anything can happen, but infact ni kazi ngumu lakini inawezekana, BADLY ENOUGH ALCANTARA & NEUER jana hawajafanya mazoezi due to injury japokua pep amedai wataanzaIf there is any team in the world at the moment that can even dream of scoring 4 more vs Barca, then Bayern is that team.
Hicho ndio kinanifanya niamini pep huu ndio msimu wake wa mwisho kwa bavarians all the way to etihad, na miongoni mwa wachezaji anaotaka aende nao ni huyo dogo de bryunehuyu si yuko kwenye plans za Pep au? i read somewhere Bayern wametenga 100m kuwapata both him and Griezman.
Alcantara sio pigo sana, Javi Martinez anaweza kucheza nafasi yake vizuri sana, na bado wana options kadhaa. Reina 4 Neuer pia haitakuwa mbaya, but i think watakuwa fit in time.In football anything can happen, but infact ni kazi ngumu lakini inawezekana, BADLY ENOUGH ALCANTARA & NEUER jana hawajafanya mazoezi due to injury japokua pep amedai wataanza
Hicho ndio kinanifanya niamini pep huu ndio msimu wake wa mwisho kwa bavarians all the way to etihad, na miongoni mwa wachezaji anaotaka aende nao ni huyo dogo de bryune
you are welcome joh, lets make it happenAlcantara sio pigo sana, Javi Martinez anaweza kucheza nafasi yake vizuri sana, na bado wana options kadhaa. Reina 4 Neuer pia haitakuwa mbaya, but i think watakuwa fit in time.
On another note, big ups for repping BuLi, nawafeel BVB, Wolfsburg na Bayer04 kiaina. Good job thus far, i will help keep it busy whenever i can.
manchester utd wanakaribia kuipata saini ya beki wa kati wa bvb mats hummels kwa 37millions,
source: eurosport
Possible line-ups:
FC Bayern: Neuer - Rafinha, Benatia, Boateng, Bernat - Xabi Alonso - Müller, Lahm, Thiago, Götze - Lewandowski
View attachment 251189
FC Barcelona: ter Stegen - Dani Alves, Piqué, Mascherano, Jordi Alba - Rakitic, Busquets, Iniesta - Messi, Suarez, Neymar
View attachment 251190
Bayern can score 4 or even more vs this Barca side, question is.....can they stop Barca from scoring??
stopping MSN is the big deal, but kama beki zitatulia kama dk 75 za mwanzo last mechi, it can be done, tatzo bavarians baada ya lile goli kuingia wakafunguka sana kutaka kusawazisha wakaacha room kwa MSN kufanya wajibu wao, but i still blive IT CAN BE DONE, PLAYERS MUST PLAY THEIR PART