Football made in Germany (Bundesliga) special thread

bryune.jpg
Manchester city bado wana haha kuipata saini ya mchezaji wa wolfsburg kelvin de bryune, wiki hii wamekutana na wakala wa mchezaji huyo lakini majibu aliyowapatia kasema "wiki ijayo nitaongea na wolfsburg kuhusu hatima ya mteja wangu kama watataka aendelee kubaki au aondoke".
 
If there is any team in the world at the moment that can even dream of scoring 4 more vs Barca, then Bayern is that team.
 
In their last 20 home European games, 24 of the 56 goals scored by B. Munich have come from forwards, 24 from midfielders and 8 from defenders
 
View attachment 251250
Manchester city bado wana haha kuipata saini ya mchezaji wa wolfsburg kelvin de bryune, wiki hii wamekutana na wakala wa mchezaji huyo lakini majibu aliyowapatia kasema "wiki ijayo nitaongea na wolfsburg kuhusu hatima ya mteja wangu kama watataka aendelee kubaki au aondoke".

huyu si yuko kwenye plans za Pep au? i read somewhere Bayern wametenga 100m kuwapata both him and Griezman.
 
If there is any team in the world at the moment that can even dream of scoring 4 more vs Barca, then Bayern is that team.
In football anything can happen, but infact ni kazi ngumu lakini inawezekana, BADLY ENOUGH ALCANTARA & NEUER jana hawajafanya mazoezi due to injury japokua pep amedai wataanza
 
huyu si yuko kwenye plans za Pep au? i read somewhere Bayern wametenga 100m kuwapata both him and Griezman.
Hicho ndio kinanifanya niamini pep huu ndio msimu wake wa mwisho kwa bavarians all the way to etihad, na miongoni mwa wachezaji anaotaka aende nao ni huyo dogo de bryune
 
In football anything can happen, but infact ni kazi ngumu lakini inawezekana, BADLY ENOUGH ALCANTARA & NEUER jana hawajafanya mazoezi due to injury japokua pep amedai wataanza
Alcantara sio pigo sana, Javi Martinez anaweza kucheza nafasi yake vizuri sana, na bado wana options kadhaa. Reina 4 Neuer pia haitakuwa mbaya, but i think watakuwa fit in time.

On another note, big ups for repping BuLi, nawafeel BVB, Wolfsburg na Bayer04 kiaina. Good job thus far, i will help keep it busy whenever i can.
 
Up against it: Bayern must score three...but they also need to stop Messi
FC-Barcelona-v-FC-Bayern-Muenchen-UEFA-Champions-League-Semi-Final.jpg
 
Hicho ndio kinanifanya niamini pep huu ndio msimu wake wa mwisho kwa bavarians all the way to etihad, na miongoni mwa wachezaji anaotaka aende nao ni huyo dogo de bryune

Sidhani kama Pep atakaa kwenda City, walishamfata kina Txiki kum-convince kabla hajaipata Bayern, ila akachomoa. Kuna article nilisoma ndio inaelezea yote hayo na jinsi Pep alivyotua Bayern, anasema anapenda traditional teams kama United, Ajax, Bayern na Juve.

My take, Pep anasubiri VDB amalize muda wake La Roja(Spain) ili achukue mikoba.
 
Alcantara sio pigo sana, Javi Martinez anaweza kucheza nafasi yake vizuri sana, na bado wana options kadhaa. Reina 4 Neuer pia haitakuwa mbaya, but i think watakuwa fit in time.

On another note, big ups for repping BuLi, nawafeel BVB, Wolfsburg na Bayer04 kiaina. Good job thus far, i will help keep it busy whenever i can.
you are welcome joh, lets make it happen
 
BTW, Klopp to Wolfsburg, how awesome will that be, jamaa anaujua mpira.
 
manchester utd wanakaribia kuipata saini ya beki wa kati wa bvb mats hummels kwa 37millions,
source: eurosport
 
we are tired of these romous, japokua najua kwa sasa bvb ni vigumu sana kuwa zuia wachezaji kama gundogun, hummels, sahin & reus kuondoka,
 
Tabloid BILD even asked in its usual
rushing way: “After the elimination in
the cup and the hammering against
Barça: Has Guardiola failed?” Sixty
percent of voters said “yes,” by the
way. Guardiola underlined that he is
“a fighter,” though admitting that the
0-3 is very tough to turn around. “I'm
realistic, it’s not easy. We have 90
minutes.”
 
Possible line-ups:
FC Bayern: Neuer - Rafinha, Benatia, Boateng, Bernat - Xabi Alonso - Müller, Lahm, Thiago, Götze - Lewandowski
View attachment 251189
FC Barcelona: ter Stegen - Dani Alves, Piqué, Mascherano, Jordi Alba - Rakitic, Busquets, Iniesta - Messi, Suarez, Neymar
View attachment 251190

As i predicted early starting XI for bavarians, except mario gotze start as a substitution, about 25 minutes to come, bavarians will shock the world, cant wait to see.
 
Bayern can score 4 or even more vs this Barca side, question is.....can they stop Barca from scoring??
 
stopping MSN is the big deal, but kama beki zitatulia kama dk 75 za mwanzo last mechi, it can be done, tatzo bavarians baada ya lile goli kuingia wakafunguka sana kutaka kusawazisha wakaacha room kwa MSN kufanya wajibu wao, but i still blive IT CAN BE DONE, PLAYERS MUST PLAY THEIR PART
 
They should be ruthless at the front today, and shield the ball really good. Then they will stand a chance
 
Back
Top Bottom