Mkuu mimi mpenzi wa soccer pia ndio uliotukuza kwenye upande wa michezo.Na sasa hivi napenda pia american football na naangalia mechi zake kama ninavyoangalia ligi ya uingereza lakini ukweli ni kwamba SOCCER ni mchezo mtamu sana.
Kuna vitu vingi vinavyovutia kwenye SOCCER kushinda american football.
"soccer" is way better than "football" (where thy keep the ball in their hands most of the time?) because the action lasts more than 4 seconds. A typical nfl game will be 4 seconds of play followed by 40 seconds of faffing about, then they might call a "time out" because they need more time to figure out a 4 second play. Then they'll have an ad break. 1 hour's playing time eventually takes about 4! in the real football ("soccer") the only break is 15 minutes at half time!
Arsene,
mimi nilikuwa mpenzi mkubwa wa mpira wa miguu; in fact, nilikuwa simba na Arsenal damu. Lakini tangu nianze kufuatilia American football nashindwa kabisa kuangalia soccer!
tafadhali naomba uniambie ni kipi hasa kiko interesting kwenye american soccer labda ipo siku ninaweza kuangalia.....
Hashycool,
Mimi mwenyewe mwanzoni nilikuwa nawacheka watu wanaoangalia American football. Nilikuwa naona watu wanarukiana tuu, lakini baada ya kujifunza sheria nimekuja kuona ukweli wa mambo. Kwanza kabisa mimi nakushauri jifunze sheria za huu mchezo, then uangalie jinsi ambavyo play zinavyotengenezwa. Huu mchezo ni hatari kusema ukweli, kama mtu una matatizo ya moyo sikushauri kabisa uangalie....
Baada mwisho siku kila mchezo una uvutio wake na inategemea na mtu unavutiwa na kitu gani.Michezo yote inatia presha lol.
Umezungumzia kuhusu presha kwenye american football kitendo kilichoikuta timu yangu jumapili nomaa.Tumepata touch down bado sekunde tisa game iishe na tulikuwa tunahitaji field goal ku tie game.Jamaa aambaye ali-snap mpira ka-usnap juu sana matokeo yake tukashindwa ku-recover mpira na game ikaisha .wala sikuhamini.
:A S 39::A S-confused1:
lool mkuu upande mwingine huu,jamaa kaugusia huu mchezo sasa huwa naufatilia ndio kaniskumbusha mechi ya weekend lol.
kaka hayo ma tachi daun, fild goal ku tie game ku snap mpira...nikitafsiri ninavyo jua ninakuwa sijielewi!......kweli kil kitu kina mwenyewe
ni mchezo mzuri mkuu ukijua sheria zake lakini hautowahi kuupita/kufikia soccer kwenye uzuri.[/color]
Mimi niko na Rufiji. American football is more exciting.
Ukizielewa sheria zake halafu uone jinsi Tom Brady, Peyton Manning, au Drew Brees wanavyozi-quarterback timu zao halafu uone jinsi wideout kama Randy Moss au Reggie Wayne wanavyo-run routes lazime uupende tu.
Hapo sijazungumzia Superbowl na fesitivities zake....
Mimi niko na Rufiji. American football is more exciting.
Ukizielewa sheria zake halafu uone jinsi Tom Brady, Peyton Manning, au Drew Brees wanavyozi-quarterback timu zao
Hata Rugby ni nzuri sana ukiijua na kuifuatilia.Kitu ukikiangalia na kikakukaa utakipenda tu.Inategemea ili swali unamuuliza nani na yuko wapi...ila honestly soka ni kiboko ilo halina ubishi, tatizo la american football ukitaka kuenjoy basi shurti ujue sheria and whatnot vile vile haina global appeal kama soka ndio maana nfl europe ilishindwa kusurvive.
Wahaya utawajua tu.amercan football inavutia????
Soccer is the best organised sport.angalia idadi ya mashabiki sio sehemu moja bali kutoka kila pembe ya dunia.
Kwa ushauri linganisha amercan football na cricket sio soccer.nikijaribu kujivika 'uhaya' basi ni bora niisifie Tennis na basketball kwani na zenyewe ziko more exciting kuliko amercan football.