Football (soccer) na American football ipi zaidi?

Football (soccer) na American football ipi zaidi?

Hata Rugby ni nzuri sana ukiijua na kuifuatilia.Kitu ukikiangalia na kikakukaa utakipenda tu.
Rugby is more popular than american football nje ya marekani heck kuna hadi kombe la dunia la rugby na timu nyingi
zinashiriki tu. Mwisho wa siku kila mtu atakuja na jibu lake na sababu inayomfanya apende mchezo huu au ule.
 
Ni uwezo mdogo wa kufikiri kuanza kuwalabel watu kabila fulani kwa sababu tu wana mawazo tofauti. Sababu kubwa inayofanya soccer ifahamike dunia nzima inatokana na historia ya huko nyuma (ukoloni) na pia ni rahisi (cheap) kucheza. Mimi nilikuwa mpenzi wa Tennis na Basketball miaka mingi sana kabla hata ya kuijua American Football; lakini, baada ya kuujua huu mchezo nimegundua una-entertainment na drama zisizo na kifani. Soccer ni nzuri lakini siku hizi imepoteza ladha, timu zikishafunga goli moja zinaaanza kudefend tuu! Halafu kitu kingine kinachoboa Refa akishaamua hakuna nafasi ya kureview...mfano penalty ya juzi ya Manchester utd.
Mkuu kwenye nfl pamoja na kureview jamaa wakati mwingine wana-bottle maaamuzi, soka inakua kwa kasi na inafanya vizuri ukilinganisha na jinsi nfl europe ilivyofanya katika uhai wake.
 
Arsene,

mimi nilikuwa mpenzi mkubwa wa mpira wa miguu; in fact, nilikuwa simba na Arsenal damu. Lakini tangu nianze kufuatilia American football nashindwa kabisa kuangalia soccer! American football ina kila kitu kuanzia drama mpaka entertainment ...
Naamini kilichokukimbiza kwenye soka ni vipigo wanavyopata hawa wajukuu wa Mr Bean
 
Naamini kilichokukimbiza kwenye soka ni vipigo wanavyopata hawa wajukuu wa Mr Bean

Belo,

Umenichekesha sana, kwa hiyo ni kipigo ndicho kilichonikimbiza.
 
The beautiful game (soccer/football/kandanda) is much more entertaining than NFL depending what team plays. I personally have been watching NFL over the past 12 years, at times it's very sensational and entertaining, sometimes sooooooo boring.
I'd say ukikuta timu zenye soka ya kuweka chini na kuvutia (Brazil, Portugal, Argentina, Spain, Holland, Bacelona, Real M., AC Milan etc) zinacheza then the beautiful game (soccer) is fun to watch than a bunch of fat ass*es running around foolishly with their fat bellies
 
umesahau kuwataja wazee wa lunyasi , wekundu wa msimbazi, simba sports club
 
umesahau kuwataja wazee wa lunyasi , wekundu wa msimbazi, simba sports club

Sijawaona SSC wakicheza toka 1999, lakini nakubaliana nawe na naamini bado ndio wenye soka ya kuvutia huko nyumbani sababu traditionally soka ya wekundu wa msimbazi ni ya kutandaza chini na sio ya kufukuza na kubutua
 
Haijabadilika bado wanacheza aina hiyo ya soka
 
Back
Top Bottom