luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Nimefurahi kumuona baby wangu gaucho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi kumuona baby wangu gaucho
Dah mjerumani huyu ana macho mazuri dahView attachment 3033492
Ozil Mesut Maestro
Huyu Guede wako nimeshakuambia hatokuwepo msimu ujao. Na tayari nimeshawasiliana na uongozi ili wampe mkataba mpya.
Babu! Tupia football wallpapers za timu yako pendwa ya njeHuyu Guede wako nimeshakuambia hatokuwepo msimu ujao. Na tayari nimeshawasiliana na uongozi ili wampe mkataba mpya.
Na wewe ndiye wa kulaumiwa. Si unajifanya unampenda sana. Sasa ninakumomesha.
Jamaa mmoja alikuwa handsome anaitwa Thiery Henry sijui yupo wapi nilikuwa nampenda alikuwa kwenye tangazo la pepsiIla kuna wachezaji wamepotea kabisa. Kuna mchezaji wa zamani kidogo alikuwa Manchester anaitwa Anderson kalikuwa kafupi kanakimbia balaa kalienda wapi?
Akina nani, hawasikiki sijui walienda wapi? Au mimi ndo nimezeeka sifatilii mpira kama zamani?
Ila zamani nilikuwa napenda mpira balaa yaani nilikuwa naenda hata vibandani dah.
Wataachana tu!Eeeh
Ili uingie weweWataachana tu!
Nitafurahi nitafungua na uzi kuwatambiaIli uingie wewe
Daah sio vizuri ivyo we bintiNitafurahi nitafungua na uzi kuwatambia
Kwanini?Daah sio ivyo vizuri we binti