cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Kwa mbali inaonekana sasa dunia ni God forsaken place lakini rafiki tunaishi katika kipindi ambacho prophecy na maandishi mengine yanakitaja kama cha kuelekea kuhitimishwa kwa historia ya dunia hii Judgement time sasahivi tunashuhudia na kuthibitishwa kwa majanga makubwa ya kibinadamu na yale ya asili kuelekea kwenye ''grand finale" ya kuja kwa Yesu masihiSafi .. Sasa inakuwaje Asitokee Tu Mfano Kipindi cha Kuwatoa Waisrael Misri Aliweka Mlima Wa sinai moto na wingu zito.. haikujalisha kuna Waliokuwa Wanamuamini au Laaah
Mimi nawafadhili maelfu, nikiwasamehe uovu, makosa na dhambi; lakini kwa vyovyote vile sitaacha kumwadhibu mwenye hatia; nawapatiliza watoto na wajukuu uovu wa baba na babu zao, hata kizazi cha tatu na nne.”Kwa mbali inaonekana sasa dunia ni God forsaken place lakini rafiki tunaishi katika kipindi ambacho prophecy na maandishi mengine yanakitaja kama cha kuelekea kuhitimishwa kwa historia ya dunia hii Judgement time sasahivi tunashuhudia na kuthibitishwa kwa majanga makubwa ya kibinadamu na yale ya asili kuelekea kwenye ''grand finale" ya kuja kwa Yesu masihi
Atakuja ni hakika!
Sina elimu ya geneology and alike but possibly sisi ndio forth generation ambayo iko kwenye threshold ya endtime sasa ndio generation inayofunga historia mercy be on us kwasababu kama ndivyoMimi nawafadhili maelfu, nikiwasamehe uovu, makosa na dhambi; lakini kwa vyovyote vile sitaacha kumwadhibu mwenye hatia; nawapatiliza watoto na wajukuu uovu wa baba na babu zao, hata kizazi cha tatu na nne.”
Kutoka 34:7 BHND
Ukisoma Hapo Juu .. Je Sisi Ni Kizazi cha Nne Au cha Tatu..
Kakobe huyu mpiga dili mwenye makanisa hadi mikoani anayetumia uchawi wa Nigeria?Mambo yanatokea sana sema ktk dunia ya Leo media ndo inaamua which to go where tazama channel ya bishop Zachary kakobe international ministries au web ktk you tube ndo utaamini but shetani na corporations and media looks for what pays not what God does
Hizo hadithi za makureshi zotawapotezeni...Muhammad alikuwa mpiga dili tumara nyingi alitokea na malaika mkuu jibril(aleysalam) na wakazungumza ana ana akimpa wahhi toka kwa Mungu.
Kuhusu kunadi mtu kuna kipindi lazima iwe hivyo kuna baadhi ya watu wanaweza kunyima hata uhuru Wa kuabudu hivyo lazima viongozi waingilie kati siasa rejea duniani kote. Kuhusu mlema. Yy alikuwa ni chaguo lake na si la kns km ilivyo siku zote yy ni mpinzani Mara nyingi kuhusu kumnadi mrema sawa lakini sina hakika suala la Mrema kuwa ni mkombozi Wa Wa Tz as he knows only Jesus ndo mkomboziAcheni kudanganya watu juu ya Kakobe!
Huyu alimnadi Mrema eti ndo mkombozi wa Watanzania?
Huu ndo unabii??
Acheni kupotosha watu!
Ndugu yangu huyo ni mtumishi Wa Mungu aliye hai sjui nikueleze kitu gani au ni kipimo gani ww unatumia kumpima mtu kuwa mtumishi Wa Mungu ningekitumia but mark my words hatuwashindanishi watumishi Wa Mungu na aliye mkubwa awe kama mdogo kwenu lakn huyo jamaa ni mtumishi Wa Mungu kwekweliKakobe huyu mpiga dili mwenye makanisa hadi mikoani anayetumia uchawi wa Nigeria?
Ana tofauti gani na gwajima, rwakatale,mzee wa upako na babu wa loliondo,...
Kwanza umemkosea heshima sana kumuita mpiga dili, pili hatumii uchawi fatilia mahubir na maombezi aliyo Fanya kwa jina la Yesu utagundua, tatu tofauti ni kubwa na hao uliowataja rejea mission ya Paulo ilivyo kuwa tofauti ya ya kina Petro ba kuhusu Loliondo Tz Kakobe ndiye Mtumishi Wa Mungu pekee aliye Mpinga huyo babu baadae akaja Katunzi na baadhi ya Mashehe pia kumbuka ndiye Wa kwanza kupinga deci kwa kuuita inatoka kuzimu days i latel waziri mkuu anaifunga.
Ktk kufatilia swali la msingi la hii mada nilisema namba tatu inathibitika na hakika yangu nakupa kuhusu kuisukia sauti ya Mungu kwa huyu mtumishi wake sina wasiwasi
Kizazi ki1 =miaka 1000Sina elimu ya geneology and alike but possibly sisi ndio forth generation ambayo iko kwenye threshold ya endtime sasa ndio generation inayofunga historia mercy be on us kwasababu kama ndivyo
then God help us all!
Kuwatumia majini, maajabu ya kujitoa muhanga! Na wengine watamalizia..Alifanya maajabu gani?
Mungu alishatususa mkuu! Tunaendaenda Tu now days...1.. kufufua watu
2... Kupaa Mbinguni
3... Kusikia Sauti ya Mungu
Mambo kama hayo .. Sasa Nyakati zetu mbona Hakuna
Asante nimejichanganya tu ni cha pili kama tunasema 2000 yearaKizazi ki1 =miaka 1000
Yap.Asante nimejichanganya tu ni cha pili kama tunasema 2000 yeara
KesheniYap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..