For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

-kutokana na maelezo yako inaelekea una base sana kwenye mono-religion na si poly-religion theology kama ungekuwa unasoma dini zaidi ya moja ungeelewa ni kwa 7babu gani haitokei tena kama zamani kwa hiyo kama utaendea kukaa na uelewa wako wa dini moja hautaelewa ni kwa nn haitokei tena cha msingi ni kuitafuta elimu na kuielewa basi...sijakukosoa ni challenge ndogo ndogo 2
Ingekuwa Vizuri kama Unayi Hiyo Elimu ukaiweka Hapa Kuliko Kunilalamikia Mie Nisiyo nayo
 
Back
Top Bottom