RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
- Thread starter
- #101
Ingekuwa Vizuri kama Unayi Hiyo Elimu ukaiweka Hapa Kuliko Kunilalamikia Mie Nisiyo nayo-kutokana na maelezo yako inaelekea una base sana kwenye mono-religion na si poly-religion theology kama ungekuwa unasoma dini zaidi ya moja ungeelewa ni kwa 7babu gani haitokei tena kama zamani kwa hiyo kama utaendea kukaa na uelewa wako wa dini moja hautaelewa ni kwa nn haitokei tena cha msingi ni kuitafuta elimu na kuielewa basi...sijakukosoa ni challenge ndogo ndogo 2