unalipwa kudanganya na ku twist words? aaahh...sory mister urasa kumbe ni wewe? aikambe mekuukisikia kuchanganyikiwa ndio huku,leo akiwa mlandizi jk mbele ya kipaza sauti chake kiliwekwa kibao kilichoandikwa maneno hayo:for a fair future for all,vote for ccm,akaendelea kuhutubia akisema sasa mbonde la ruvu litageuzwa kama sehemu ya kulima mbogamboga na sio kufanya green agricultural rev,yeye alisisitiza mbogamboga,enyi watz,can we have a fair future for all kwa kuwekeza kwenye bonde bikra la ruvu kwenye kilimo cha mbogamboga?
udini,udini,udini tu,nyie ndio mnaomshauri bonde la ruvu litumike kwa mbogamboga,na sasa mna kesi ya kuua yule mzee aliyekuwa anadaia malipo yake ya jumuiya ya afrika masharikiunalipwa kudanganya na ku twist words? aaahh...sory mister urasa kumbe ni wewe? aikambe meku