ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku,leo akiwa mlandizi jk mbele ya kipaza sauti chake kiliwekwa kibao kilichoandikwa maneno hayo:for a fair future for all,vote for ccm,akaendelea kuhutubia akisema sasa mbonde la ruvu litageuzwa kama sehemu ya kulima mbogamboga na sio kufanya green agricultural rev,yeye alisisitiza mbogamboga,enyi watz,can we have a fair future for all kwa kuwekeza kwenye bonde bikra la ruvu kwenye kilimo cha mbogamboga?