For all those Getting Excited That Uhuru is winning See here

1. Gesweswe - Nyamira - Uhuru 121 Raila 103
2. Gesura Pri ...North Mugirango - Uhuru 417
Raila 506
3. Matongo - North Mugirango - Uhuru 182
Raila 150
4. Bitare Primary - Kisii Uhuru 153 Raila 140

From itumbis page
 
Mwanzilishi wa uzi huu haoni mengine.Kumbuka 2013 pia Uhuru alishinda na majimbo machache kuliko majimbo ya Odinga na pia Donald Trump pia alishinda Hillary kwa mfano huo huo.
 
..2012 dikteta uchwara alikwenda kumpigia kampeni.

..mara kadhaa amemtembelea dikteta uchwara.

..sitaki kabisa kumsikia Raila Odinga.
nadhani anamzungumzia Bwana M....yule ambaye jina halitajwi ovyo ovyo...the man who shall remain unnamed...
 
ila ni kweli, EA kwa sasa imajaa ma dikteta....ukija UG jamaa anataka kukufia uongozini.....jamaa useless kabsa...twende Rwanda, ndio huyo mwingine anatamani kuongoza hadi 2034 mpaka anaongeza presidential terms...twende, TZ, jamaa hataki waimbaji, wanahabari ama opposition kutamka lolote...hataki kuingiliwa....Ethiopia huko naskia ukitamka jina la PM unatandikwa uskie...Kiir wa Sudan Kusini anazua rabsha kila uchao na opposition leader Machar....heri Kenyatta na Odinga kidogo...atleast they have a sense of democracy....ingekua Kenyatta ni dikteta, bila shaka ile show iitwayo XYZ haingekua mitandaoni sasa kwa miaka minne...
 
..2012 dikteta uchwara alikwenda kumpigia kampeni.

..mara kadhaa amemtembelea dikteta uchwara.

..sitaki kabisa kumsikia Raila Odinga.

Mbona urafiki wao umeenza hata kabla ya 2005?
 
Mbona urafiki wao umeenza hata kabla ya 2005?
ndio kisha urafiki haumaanishi chochote...hata Odinga akashinda sioni kama uhusino kati ya Kenya na Tz utabadilika kwa asilimia kubwa sana licha ya kwamba Odinga na yule jamaa mwingine ni marafiki wa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…