mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,735
Hapo ndo naona ni bora Uhuru ashinde. Huyu RAO anaweza akawa kama rafk yakeila ni kweli, EA kwa sasa imajaa ma dikteta....ukija UG jamaa anataka kukufia uongozini.....jamaa useless kabsa...twende Rwanda, ndio huyo mwingine anatamani kuongoza hadi 2034 mpaka anaongeza presidential terms...twende, TZ, jamaa hataki waimbaji, wanahabari ama opposition kutamka lolote...hataki kuingiliwa....Ethiopia huko naskia ukitamka jina la PM unatandikwa uskie...Kiir wa Sudan Kusini anazua rabsha kila uchao na opposition leader Machar....heri Kenyatta na Odinga kidogo...atleast they have a sense of democracy....ingekua Kenyatta ni dikteta, bila shaka ile show iitwayo XYZ haingekua mitandaoni sasa kwa miaka minne...
Sent using Jamii Forums mobile app