for BONGO HIP HOP ONLY(BATTLE LINE)

for BONGO HIP HOP ONLY(BATTLE LINE)

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
moja ya sifa ya huu mziki ni majibzano katika nyimbo. mmoja akitoa line flani mwngne anaijbu,either kwa kusuport or kuipinga.
.1.'hata kwa biti ya kapuka ntapga michano ya hiphop by mwanafa na bonta akajibu'hakuna bit ya kapuka kwny michano ya hiphop
 
hapo juu ni mfano.
rodger that roma haikujengwa kwa siku moja by R.O.M.A na Joh makini akajibu"me ni mtanzania kamili iweje niijenge roma'
battle gani nyngne unaifahamu?
 
Waambieni sina mkia wa kufyata by kala jeremiah na mwanafa akajibu'huna mkia na utafyata'
nafahamu na bahati mbaya kama nalala na bundi by mwanafa na fid q akajibu'unaweza lala na bundi na ukaamka mwenye bahati'
 
''amani kwa kaka voda milionea,waambie wadogo zako waache poda wale mmea'' -JMoe wimbo:Jipange
akajibiwa --------------->
''amani kwa kaka voda milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea'' -LANGA wimbo:Gangstar
 
then akamwambia tena moe' amani kwa kaka voda milionea mwambie moe nimeacha poda na siri tena mmea'wimbo ni kifo.jela au taasisi!
 
Hip hop haiuzi.hailipi tena inaboa by madee. R.o.m.a akajibu hip hop haiuzi? Ah wapi we ni liar!
 
''amani kwa kaka voda milionea,waambie wadogo zako waache poda wale mmea'' -JMoe wimbo:Jipange
akajibiwa --------------->
''amani kwa kaka voda milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea'' -LANGA wimbo:Gangstar

Jipange na gangstar zote ni za ukweli.
 
WIMBO JIRUSHE
jirushe jirushe jirushe rushee leo kwa pamoja tumekusanyika na muda kuspend sasa umefika...FEROUZ

WIMBO FAMOUS
wengi leo wako chali na walivuma ile kinyama
Jirushe kiakili kabla line light yako haijazima...
JAY MOE
 
Mi ndo mc pekee ninayenenepa kwa stress by baghdad na niki mbishi akajibu nenepa tu kwa stress fresh japo haichekeshi
 
Back
Top Bottom