Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaPo KWENYE RED UMECHEMKA NI COLOR NA PIA USIRUKE NAFASI[colour=red ]jamii forums.[/colour ]
[colour=red ]jamii forums.[/colour ]
also futa U kwenye colour ibakie COLOR
Chezea Good Guy weweeeee
Nimeweza bana maana nilikuwa sijajua kama nakosea.
[U ]mstari[/U ]
Tabu yote hiyo ya nini? Kwani nikiandika kwa nyeusi sisomeki? Nifundishe jinsi ya ku like m2. Pili nifundishe jinsi yakupata pesa kirahisi meku.
Chezea Good Guy weweeeee
Nimeweza bana maana nilikuwa sijajua kama nakosea.
Asante mkuu, ubarikiwethanks mkuu!
kama unataka maandishi makubwa
[ size="15"]thanks mkuu![/size]
usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani
Thanks MKUU!
Kama unataka Maandishi makubwa
[ size="15"]Thanks MKUU![/size]
Usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani
Hello Guys.
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.
TUANZE.
HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU
1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILE
Tutatumia code hizi mbili
1.[COLOR=#ff0000 ]
2.[/COLOR ]
U
siweke Space yoyote ile mi nimeweka ili zionekane tu hizi Code
OKAY
Sasa Mwanzo mwa neno MOBILE yaani Nyuma ya herufi M weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno MOBILE yaani mbele ya herufi E weka code hiyo ya Pili. Its DONE.
[COLOR=#ff0000 ]MOBILE[/COLOR ]
Au hivi [COLOR=red ]MOBILE [/COLOR ]
MOBILE
KWA CODE ZINGINE HIZI HAPA
#000000 black
#FFFFFF white
#FF0000 red
#008000 green
#0000FF blue
#FFFF00 yellow
#808080 gray
#800080 purple
#00FF00 lime
#00FFFF aqua
#FF00FF fuchsia
#800000 maroon
#000080 navy
#808000 olive
#C0C0C0 silver
#008080 teal
#EE82EE violet
NOTE:
unaweza kuweka Code number au Jina la Rangi kama hapo juu yalivyoorodheshwa
Halafu Unamalizia kwa code ya pili. THANKS GUYS
UPDATE
KUPIGIA MANENO MSTARI
[U ] MSTARI [/U ]
Toa au rudisha hizo space and u're done
MSTARI
KUWEKA SMILEY
Toa au rudisha hizo space and u're done
1 :do h: :doh:
2 :win k: :wink:
3 :bathbab y: :bathbaby:
4 :embarrasse d: :embarrassed:
5 :coffe e: :coffee:
6 😛opcor n: 😛opcorn:
7 :mwaaa h: :mwaaah:
8 :flypi g: :flypig:
9 :range r: :ranger:
10 :israe l: :israel:
11 :lo l: :lol:
12 :tongu e: :tongue:
13 :wink 2: :wink2:
14 😛ee p: 😛eep:
15 :gossi p: :gossip:
16 :smas h: :smash:
17 :evi l: :evil:
MORE TO COME.