For JamiiForums Mobile users

hello guys am here to help anyone facing problem with there am top solution please i need ur challanges lets start
I would like to know how can I know if am diverted by someone and also would like to knw how can I divert someone, pleas help me oga
 
rednimeshindwa]
 
Tangu nipate update ya jf apps android lila muda inanitaka nilogin..kama tatizo limewakumba wengine naombeni namna mlivyolishinda.
 
Tangu nipate update ya jf apps android lila muda inanitaka nilogin..kama tatizo limewakumba wengine naombeni namna mlivyolishinda.
Mkuu, si unaijua username na password yako kiongozi...?.

Kuna shida gani ku-log in inachukua hata dakika mkuu kwani...?.
 
Mkuu, si unaijua username na password yako kiongozi...?.

Kuna shida gani ku-log in inachukua hata dakika mkuu kwani...?.
Hakuna shida ndio maana ikawepo option ya kusave ili mtu usiwe wapata shidaa maana kama simu yangu password ni hadi kwenye line..
So napenda iwe kama long time kidogo, ukigusa tu imoo na si kuamza adika maana passward yangu ina charater 27 sasa si mchezo ukianza andika ukifika 11 ukikosea inakulazimu anza upyaa!!
 
Umenizidi character 10 hapo.

Na huwa unapokea notifications kama mtu akiku-quote au aki-like post yako huwa unapokea notification mkuu...?.

Na ukiifungua hiyo notification huwa unatakiwa pia ku-log in ndio uweze kuijibu au inakupeleka direct kwa thread husika bila ya ku-log in...?.
 
Notification napata na hunipeleka katika uzi husika bila shida!!!

Urefu wa password ni kiboko ya hackers !
 
Notification napata na hunipeleka katika uzi husika bila shida!!!

Urefu wa password ni kiboko ya hackers !
Inawezekana ikawa kuna option ya ku-remember this password & username ngoja tuwaulize hawa wahusika hapa tunaomba mtueleze hili suala mkuu Invisible, Moderator, Mhariri.

Tusubirie majibu kutoka kwao tujue kama kuna hiyo option au ni lazma unatakiwa u-log in kila unapoingia JF kupitia app yao kwa sasa.

Tunaomba muongozo wakuu.

T. I. A.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…