Sniper shooter
Senior Member
- Jan 3, 2016
- 178
- 128
sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I would like to know how can I know if am diverted by someone and also would like to knw how can I divert someone, pleas help me ogahello guys am here to help anyone facing problem with there am top solution please i need ur challanges lets start
[/Ningumu na inahitaji kumbukumbu na jaribu tu lakini]Labda kama ni Uvivu... Hebu Jaribu Kureply hapa uone zilivyokaa
#808080nielewesheMOBILE
rednimeshindwa]Hello Guys.
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.
TUANZE.
HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU
1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILE
Tutatumia code hizi mbili
1.[COLOR=Red ]
2.[/COLOR ]
Usiweke Space yoyote ila mi nimeweka ili zionekane tu hizi Code
OKAY
Sasa Mwanzo mwa neno MOBILE yaani Nyuma ya herufi M weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno MOBILE yaani mbele ya herufi E weka code hiyo ya Pili. Its DONE.
[COLOR=[URL=[URL]https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=FF0000]#FF0000[/URL][/URL] ]MOBILE[/COLOR ]
Au hivi [COLOR=red ]MOBILE [/COLOR ]
MOBILE
KWA CODE ZINGINE HIZI HAPA#000000 black
#FFFFFF white
#FF0000 red
#008000 green
#0000FF blue
#FFFF00 yellow
#808080 gray
#800080 purple
#00FF00 lime
#00FFFF aqua
#FF00FF fuchsia
#800000 maroon
#000080 navy
#808000 olive
#C0C0C0 silver
#008080 teal
#EE82EE violet
NOTE:
unaweza kuweka Code number au Jina la Rangi kama hapo juu yalivyoorodheshwa
Halafu Unamalizia kwa code ya pili. THANKS GUYS
UPDATE
KUPIGIA MANENO MSTARI
[U ] MSTARI [/U ]
Toa au rudisha hizo space and u're done
MSTARI
KUWEKA SMILEYToa au rudisha hizo space and u're done
1 :do h: :doh:
2 :win k: :wink:
3 :bathbab y: :bathbaby:
4 :embarrasse d: :embarrassed:
5 :coffe e: :coffee:
6 😛opcor n: 😛opcorn:
7 :mwaaa h: :mwaaah:
8 :flypi g: :flypig:
9 :range r: :ranger:
10 :israe l: :israel:
11 :lo l: :lol:
12 :tongu e: :tongue:
13 :wink 2: :wink2:
14 😛ee p: 😛eep:
15 :gossi p: :gossip:
16 :smas h: :smash:
17 :evi l: :evil:
18 😛o a: 😛oa
19 :focu s: :focus:
20 :y o: :yo:
MORE TO COME.
HERUFI KUBWA
Kama Unataka Kuweka Herufi Kubwa. Basi Fanya hivi...
andika maneno yako Mfano JF MOBILE. Sasa mwanzoni weka code hii [size=15 ] na Mwishoni weka Code hii [/size ] Usiruke space kama mimi.. And its DONE. Hiyo 15 unaweza kuibadili kulingana na size unayotaka.
JF MOBILE oooh Niiice
KUWEKA NENO CLICK HERE au KUWEKA LINK
Ni Ngumu kidogo.but lets try
[ url=www.jamiiforums.com] CLICK HERE [/url]
Hapo nilipoandika jamiiforums unaweza kuweka web address yoyote ile. Ila kumbuka kutoruka space.
KUWEKA PICHA
Kama unataka kuweka Picha JF maana kwenye Attachment wengi panawashinda.. Fuata Maelezo Yafuatayo utafanikiwa bila matatizo..
Changamoto ya njia hi ni kuwa hutoweza kupakua kutoka kwenye Simu yako........:doh: Oooops
OKAY TWENDE MOJA KWA MOJA.
1. Tafuta Picha yoyote kwenye internet au blogs/Google au source nyingine yoyote au ukipenda humu humu JF
2. Kama Unatumia OPERAMINI au UC BROWSER nenda kwenye ile Picha halafu Bonyeza OPEN IMAGE
![]()
3. Ukisha open image yako nenda pale juu ya Address ya image halafu COPY
![]()
4. Ukisha-COPY sasa unapoanzisha Thread au unapo-post Comment fanya hivi.
- Katika Post/thread anza nabila kuruka Nafasi. ...Tafadhali usisahau kuweka http://![]()
![]()
HALAFU SUBMIT....
JUST LIKE THIS
![]()
MENTION SOMEONE
JE UNATAKA KUMTAJA MTU KWENYE COMMENT AU POST YAKO ili Aione akiingia JAMIIFORUMS..AU MTU MWINGINE ANAWEZA KUCLICK JINA HILO NA KUONA PROFILE YAKE N.K
NI RAHISI SANA...JUST ANDIKA COMMENT YAKO HALAFU INAPOFIKA SEHEMU YA KUMTAJA WEKA HII ALAMA YA AT (@) UKIFATIA NA JINA LAKE
KAMA HIVI @ RGforever
usiruke nafasi kati ya @ na jina
RGforever[/size][/COLOR][/COLOR]
REDrednimeshindwa]
katuduchu said:
Mkuu, si unaijua username na password yako kiongozi...?.Tangu nipate update ya jf apps android lila muda inanitaka nilogin..kama tatizo limewakumba wengine naombeni namna mlivyolishinda.
Hakuna shida ndio maana ikawepo option ya kusave ili mtu usiwe wapata shidaa maana kama simu yangu password ni hadi kwenye line..Mkuu, si unaijua username na password yako kiongozi...?.
Kuna shida gani ku-log in inachukua hata dakika mkuu kwani...?.
Umenizidi character 10 hapo.Hakuna shida ndio maana ikawepo option ya kusave ili mtu usiwe wapata shidaa maana kama simu yangu password ni hadi kwenye line..
So napenda iwe kama long time kidogo, ukigusa tu imoo na si kuamza adika maana passward yangu ina charater 27 sasa si mchezo ukianza andika ukifika 11 ukikosea inakulazimu anza upyaa!!
Notification napata na hunipeleka katika uzi husika bila shida!!!Umenizidi character 10 hapo.
Na huwa unapokea notifications kama mtu akiku-quote au aki-like post yako huwa unapokea notification mkuu...?.
Na ukiifungua hiyo notification huwa unatakiwa pia ku-log in ndio uweze kuijibu au inakupeleka direct kwa thread husika bila ya ku-log in...?.
Jaribu tena baadae, rangi imefeli![COLOUR=#008080]NAJARIBU TU[/COLOUR]
Inawezekana ikawa kuna option ya ku-remember this password & username ngoja tuwaulize hawa wahusika hapa tunaomba mtueleze hili suala mkuu Invisible, Moderator, Mhariri.Notification napata na hunipeleka katika uzi husika bila shida!!!
Urefu wa password ni kiboko ya hackers !