For JamiiForums Mobile users

[COLOUR=#008080]NAJARIBU TU[/COLOUR]
Mkuu, jaribu kuandika rangi unayoitaka kwa jina lake kuliko hizo code zitakuchanganya kiongozi.

Jaribu kuandika kama hapo ulipoandika lakini baada ya kuweka hizo code jaribu kuweka jina la rangi husika e.g COLOR=RED.

Hapo katikati ya mabano ndio uweke maandishi unayotaka yawe na rangi na usiache nafasi.

Hebu jaribu hiyo bandugu.
 
Kwangu option ipo ila haifanyi kazi #invisible
 
afadhari umeniona maana shida mfano nataka kuposti kitu nafanyaje natumia sim
 
Mkuu, ni color au COLOR sio colour wala sio COLOUR ukishindwa hapo tena nabadili username situmii tena KIOO.

JARIBU MARA YA MWISHO PLZ.
Aacha mbwembwe wengine hawana dogo anaweza shindwa makusudi tukashondwa pata kioo humu haha
 
Kwenye simu yako si unaona wameandika jukwa la siasa, jukwaa la habari na hoja mchanganyiko n.k unaziona hizo forums/jukwaa...?.

Unaingia kwenye jukwaa husika inategemea unataka kuanzisha thread inayohusu kitu gani then unaingia kwenye husika sjajua kama unatumia browser mf opera nk.

Kuna sehem utaona pameandikwa New Topic click hapo. Itakuja sehem ya kuandika kichwa cha habari utaweka hapo kichwa habari halaf chini utaweka habari unayotaka kuipost baada ya hapo unaituma unakuwa umemaliza.

Sjajua unatumia browser au app ya JF.

KARIBU SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…