KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Mkuu, jaribu kuandika rangi unayoitaka kwa jina lake kuliko hizo code zitakuchanganya kiongozi.[COLOUR=#008080]NAJARIBU TU[/COLOUR]
Jaribu kuandika kama hapo ulipoandika lakini baada ya kuweka hizo code jaribu kuweka jina la rangi husika e.g COLOR=RED.
Hapo katikati ya mabano ndio uweke maandishi unayotaka yawe na rangi na usiache nafasi.
Hebu jaribu hiyo bandugu.