For JamiiForums Mobile users

Yaani kwa mfano unaandika halafu unataka kuwekarangi nyekundu.
 
Sorry nilikuwa nakuelekeza nikakuta nakufanyia kabisa.
Andika code ya rangi kwanza,mfano rangi nyekundu ni:.

Kwa hiyo:Maandishi yako ukitaka yawe na rangi nyekundu lazima uanze na hatua hiyo hapo juu.Yaani i-copy na kui-paste kama nilivyokuandikia hapo juu.

Halafu:Mbele ya hiyo,yaani [Color=#FF000]

Andika sentensi au neno lako.

Done!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…