shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,070
Kweli mwanzo mgumu.aasante sijui ntaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mwanzo mgumu.aasante sijui ntaweza
Ndio hivyo hivyo ushakuwa sasa.NDIO IV SIJUI
hii nayo ipo!PIA Njia Hii Iko Poa KULIKO HIYO YA KUKARIRI COLOR CODES
[color=Jina la Rangi utakayo]SENTENCE UNAYOTAKA IWE NA RANGI[/color]
Mfano [color = blue]JAMIIFORUMS[/color] WEWE USILUKE NAFASI HAPO KWENYE = MIMI NIMELUKA ILI UONE KAMA NISINGE LUKA NAFASI INGE ONEKANA HIVI JAMIIFORUMS
Pia UNAWEZA KU BOLD MANENO KWA KUYA WEKA KATIKATI YA [ b ]maneno unayo taka yawe bolded[/b] kumbuka kuto weka nafasi katika hizo helufi b ndani ya mabano
Mfano: JAMIIFORUMS
PIA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI KUJUA KUWEKA PICHA KATIKA THREAD ANAWEZA ULIZA. PICHA KAMA HII
![]()
Najaribu kama ntaweza[/u]Napiga mstari sasa[\U]
NimewezaNajaribu kama ntaweza[/u]