Duh, mimi ndio naona leo hii elimu, naona kikubwa hapa ni kutumia HTML tags, anyway, kwa sisi tuliopita kwenye field hiyo sio issue ila kwa wale ambao ndio wataanzia hapa. Suggestion: Itengenezwe pop-up au advert ya hizi tags itakayokuwa inawakumbusha watumiaji wa Mobile devices, ingekuwa hivyo ningekuwa nshajua cku nyingi na sio leo.