For JamiiForums Mobile users

Hivi namna ya kucreate threat kwa kutumia simu unafanyaje?

Nashindwa kuweka threats huku sababu cjui option iko wapi.
 
Kupiga mstari unaweka [ U ] Mwanzoni na [ / U ] mwishoni.

Kufanya chochote kwenye quote, ukishaeka kama unataka mjibu kuna alama ya kalamu ndani ya kiboksi pembeni ya quote. Kiguse alafu quote itajitokeza kama wewe ndo umeandika... Fanya unachotaka fanya alafu tuma.
 
[Green=]Duh[/Green]
Fanya hivi

[ colo r= red ] jaxonjaxon [/colo r]

1.Sasa hizo space zote hazitakiwi.

Sasa itakuwa hivi, hapo sasa sijaacha space.

jaxonjaxon

2.hupaswi uache nafasi yoyote kati ya hivyo hispokuwa katikati ya neno na neno
mf.Baba na mama

Hivyo Baba ya mwanzo usiachanishe nafasi na rangi utakayotumia au code,yaani itakuwa,

[colo r= blu e ] Baba
(usiache nafasi kama mimi nilivyoacha,nimeacha ili uelewe)

Neno la kati halina tatizo, yaani baada ya baba utaacha nafasi

Neno la mwisho pia liwe hivi

[ /colo r ]
(usiache nafasi) ila kabla ya hilo kuna mama nyuma yake na kati ya mama na [ /colo r ] usiache nafasi

Yaani

[ colo r= blue ] Baba na mama [/colo r ]

Mwanzini na mwishoni kote nimeacha nafasi ili uelewe lakini wewe hupaswi uache nafasi

Yaani hapo space inatakiwa kati ya neno baba na "na" halafu "na" na mama

Yaani,Hapa sijaacha nafasi sasa

Baba na mama

-kama code zinachanganya tumia majina ya rangi mfano blue,red,white n.k

Jaribuni halafu mtoe mrejesho mrejesho

great vision Jemedal_bin_chichi CHAPTER5 Mpagani steve WAR Tunizei

Na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…