For JamiiForums Mobile users

Kizuri kula na mwenzio baada ya kufahamu jinsi ya kuweka link kwenye uzi wowote nimeona si vibaya nikishare na wenzangu msiofahamu nanyi mpate ujuzi na ujanja
Nenda kwenye page husika au thread unayotaka kucopy link yake kupeleka sehemu nyingine
Click mwanzon mwa makala husika,yatatokea maneno click neno copy page url kisha nenda kwenye thread husika click mara moja yatatokea maneno chagua neno Paste
Unakua tayari ushaweka link kisha post kama comment au uzi
mfano nimegoogle Jamii forums nikapata page yake wikipedia


JamiiForums - Wikipedia

Ruksa kujaribu na kujifunza hapa au kuongezea ujuzi mwingine mwepesi zaidi wa kuweka link
 

Njia nyepesi ya kuweka link kwenye thread,nawe njoo upate ujuzi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…