For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Kizuri kula na mwenzio baada ya kufahamu jinsi ya kuweka link kwenye uzi wowote nimeona si vibaya nikishare na wenzangu msiofahamu nanyi mpate ujuzi na ujanja
Nenda kwenye page husika au thread unayotaka kucopy link yake kupeleka sehemu nyingine
Click mwanzon mwa makala husika,yatatokea maneno
IMG_20170602_202829.jpg
click neno copy page url kisha nenda kwenye thread husika click mara moja yatatokea maneno
IMG_20170602_203218.jpg
chagua neno Paste
Unakua tayari ushaweka link kisha post kama comment au uzi
mfano nimegoogle Jamii forums nikapata page yake wikipedia

IMG_20170602_201108.jpg

JamiiForums - Wikipedia

Ruksa kujaribu na kujifunza hapa au kuongezea ujuzi mwingine mwepesi zaidi wa kuweka link
 
Kizuri kula na mwenzio baada ya kufahamu jinsi ya kuweka link kwenye uzi wowote nimeona si vibaya nikishare na wenzangu msiofahamu nanyi mpate ujuzi na ujanja
Nenda kwenye page husika au thread unayotaka kucopy link yake kupeleka sehemu nyingine
Click mwanzon mwa makala husika,yatatokea manenoView attachment 518265 click neno copy page url kisha nenda kwenye thread husika click mara moja yatatokea manenoView attachment 518271 chagua neno Paste
Unakua tayari ushaweka link kisha post kama comment au uzi
mfano nimegoogle Jamii forums nikapata page yake wikipedia

View attachment 518264
JamiiForums - Wikipedia

Ruksa kujaribu na kujifunza hapa au kuongezea ujuzi mwingine mwepesi zaidi wa kuweka link

Njia nyepesi ya kuweka link kwenye thread,nawe njoo upate ujuzi hapa
 
Back
Top Bottom