For JamiiForums Mobile users

Nashukur sana Numbisa kwa maujanja uliyotupatia,naomba unielekezw namna ya kuangalia wa2 walionifuata pm au watu walio-like nilicho comment
 
Mkuu unaona hapo juu kwenye kimtu bonyeza hapo utaona alerts ndo notification kuonyesha mtu au watu wame like comments zako au thread ulizoanzisha

Vile vile utaona private message kama ni mbili itakuwepo 2 au 4 kuonyesha idadi ya pm ulizotumiwa
Nashukur sana Numbisa kwa maujanja uliyotupatia,naomba unielekezw namna ya kuangalia wa2 walionifuata pm au watu walio-like nilicho comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…