For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Njia nyepesi ya kuweka link kwenye thread,nawe njoo upate ujuzi hapa
 
Jamani mimi sijui kufungua uzi yaani kuanzisha thread hebu nipeni maujuzi basi maan nina umbea nimebaki kucoments [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiifungua forum mfano chit chat utakuta menu hii ndani,chagua(click)
IMG_20170605_145538.jpg
hapo post new thread
Ndani utakuta menu hii,andika title kisha teremka chini mwaga ubuyu ulioshiba na kukorea rangi na viungo vyake
IMG_20170605_145517.jpg

Ukimaliza shuka chini utakuta menu hii so ukitaka kuweka na ka picha click upload a file,usipotaka kuweka picha just click create thread utakua umefanikiwa kuanzisha thread yako nzuri kabisa
IMG_20170605_145438.jpg

Jamani mimi sijui kufungua uzi yaani kuanzisha thread hebu nipeni maujuzi basi maan nina umbea nimebaki kucoments [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam mkuu Joseverest
Husika na mada tajwa hapo juu
Nielekeze mkuu namna ya kubold maneno asee nakuonaga wee mtaalam Sana wa kutupia comments za kubold
Ni hayo Tu mkuu!!
 
unapoanza kuandika comments kuna neno limeandikwa B BONYEZA hilo tiririkaaaaaaa
 
Kama unatumia Computer ni simple mnooo! Ila cjajua upande wa simu
 
andika hivi bold
underline hivi underline[/b]
color hivi color
 
Back
Top Bottom