mm je nimeweza?
Kaka wale wanaotumia anymous proxy hawapati hizo feature labda wale wa Vpn proxy ndio wapo mzukaCode za nini mbona hizo features tunazipata bila kukumbuka code zote hizo?
Highlight, bofya B juu huko una bold, yanini taabu na raha zipo?
Code za nini mbona hizo features tunazipata bila kukumbuka code zote hizo?

Ana maanisha kwa wale wanaotumia simu!
mbona sijakusoma?
Kaka wale wanaotumia anymous proxy hawapati hizo feature labda wale wa Vpn proxy ndio wapo mzuka
Ondoa nyota**
bold ni hivi text[/b*]
underline ni hivi text[/u*]
rangi
ni hivi [=color] text[/color*]
link ni hivi [/url*]
kukata neno... Hi naona inazingua JF
ila nayo nitext[/s*]
kama unajua code zaidi unaweza tupia
Kulist vitu tumia code hizo apo chini na utaspesify kwa aina ya list mfano ukieka 1 italist kwa namba na herufi a ilist kwa a to z
[size=+4] code za kulist kawaida [/size]
[list]
[*]list item 1
[*]list item 2
[/list]
[size=+4] itatokea na kuwa [/size]
- list item 1
- list item 2