For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Kizuri kula na mwenzio baada ya kufahamu jinsi ya kuweka link kwenye uzi wowote nimeona si vibaya nikishare na wenzangu msiofahamu nanyi mpate ujuzi na ujanja
Nenda kwenye page husika au thread unayotaka kucopy link yake kupeleka sehemu nyingine
Click mwanzon mwa makala husika,yatatokea manenoView attachment 518265 click neno copy page url kisha nenda kwenye thread husika click mara moja yatatokea manenoView attachment 518271 chagua neno Paste
Unakua tayari ushaweka link kisha post kama comment au uzi
mfano nimegoogle Jamii forums nikapata page yake wikipedia

View attachment 518264
JamiiForums - Wikipedia

Ruksa kujaribu na kujifunza hapa au kuongezea ujuzi mwingine mwepesi zaidi wa kuweka link
Kula like
 
images
Babu mambo
 
Back
Top Bottom