Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa mabano kwenye Neno COLOR Kwa Mbele liwe hivi
sawa
[COLOR=#hayakwenye alama ya sawasawa usiweke SPACE. Kama hivi
Mbona mimi inakubali
Update kwenye app huwa zinakuwepo tu ili kuboresha na kurekebisha makosa. Unaweza fungua play storesawa mara ya kwa unaweza usuone kama kuna update coz inakua imecache ukirudia mara kadhaa inaonesha update
Mkuu ebu nipe na mimi maujanja maana nashindwa kumjibu mtu kwa kuquote kipengele fulani tu ndani ya post badala ya kuquote yote.Bro thanks nimekuja kuielewa difference sasa, kuquote basically ni kutaka kureply mesej kadhaa kwa mkupuo ila kama ukiquote mesej moja katika muonekano haina utofauti na kureply (actually one message)
Unatumia app au web browser?Mkuu ebu nipe na mimi maujanja maana nashindwa kumjibu mtu kwa kuquote kipengele fulani tu ndani ya post badala ya kuquote yote.
App mkuu.Unatumia app au web browser?
Ukitumia app ni ngumu kuquote meseji nyingiApp mkuu.