For JamiiForums Mobile users

Wakulungwa habari za wakati huu! Naombeni msaada kidogo.
Kwenye simu yangu picha nyingi zinazotumwa Jukwaani hazifunguki! Tatizo laweza kuwa nn?
 
Wakulungwa habari za wakati huu! Naombeni msaada kidogo.
Kwenye simu yangu picha nyingi zinazotumwa Jukwaani hazifunguki! Tatizo laweza kuwa nn?
Hili suala sio kwako pekee hata me iko hivyo ni muda ss
 
Wakulungwa habari za wakati huu! Naombeni msaada kidogo.
Kwenye simu yangu picha nyingi zinazotumwa Jukwaani hazifunguki! Tatizo laweza kuwa nn?
Hata mimi aisee nasumbuka sana kila nikifungua picha nakutana na kivuli tu tunaombeni msaada wa utatuzi kuna mmoja amesema eti tutumie app version ya zamani sasa tutaipata vipi na sisi wengine tulisha update tayari labda mwenye app version ya zamani ambayo picha inafungua atusaidie hata tereglam au whatsap njoo pm nikupe namba unitumie aisee.. Natanguliza shukrani.
 
Wakuu naomba msaada kidogo apa
Telegram yangu aiwez kutuma text kwa mtu au kutumia link ambazo zipo kwenye channel na groups za telegram wananiambia kwamba n limitations tatizo n nn apo na je hili tatizo linaweza kusoviwa msaada jaman
Nawakilisha
 
you’re genius
 
Thanks MKUU!
Kama unataka Maandishi makubwa

[ size="15"]Thanks MKUU![/size]

Usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani

[size=“16”] Roger Dat [/size]
 
Thanks MKUU!
Kama unataka Maandishi makubwa

[ size="15"]Thanks MKUU![/size]

Usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani

[size=''15''] Roger Dat [/size]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…