herrera
Senior Member
- Jul 30, 2017
- 108
- 260
OKWandugu habari
Kuna hii no +255746983528
Inajaribu
Okkkunipigia nakuta missed call nkipiga inaniambia no haipo yaweza kuwa ni nini maana hata mpesa haijasajiliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OKWandugu habari
Kuna hii no +255746983528
Inajaribu
Okkkunipigia nakuta missed call nkipiga inaniambia no haipo yaweza kuwa ni nini maana hata mpesa haijasajiliwa
Hili suala sio kwako pekee hata me iko hivyo ni muda ssWakulungwa habari za wakati huu! Naombeni msaada kidogo.
Kwenye simu yangu picha nyingi zinazotumwa Jukwaani hazifunguki! Tatizo laweza kuwa nn?
Hili Jambo lipo hata kwangu.Wakulungwa habari za wakati huu! Naombeni msaada kidogo.
Kwenye simu yangu picha nyingi zinazotumwa Jukwaani hazifunguki! Tatizo laweza kuwa nn?
Hata mimi aisee nasumbuka sana kila nikifungua picha nakutana na kivuli tu tunaombeni msaada wa utatuzi kuna mmoja amesema eti tutumie app version ya zamani sasa tutaipata vipi na sisi wengine tulisha update tayari labda mwenye app version ya zamani ambayo picha inafungua atusaidie hata tereglam au whatsap njoo pm nikupe namba unitumie aisee.. Natanguliza shukrani.Wakulungwa habari za wakati huu! Naombeni msaada kidogo.
Kwenye simu yangu picha nyingi zinazotumwa Jukwaani hazifunguki! Tatizo laweza kuwa nn?
Labda kama ni Uvivu... Hebu Jaribu Kureply hapa uone zilivyokaa
PIA Njia Hii Iko Poa KULIKO HIYO YA KUKARIRI COLOR CODES
[color=Jina la Rangi utakayo]SENTENCE UNAYOTAKA IWE NA RANGI[/color]
Mfano [color = blue]JAMIIFORUMS[/color] WEWE USILUKE NAFASI HAPO KWENYE = MIMI NIMELUKA ILI UONE KAMA NISINGE LUKA NAFASI INGE ONEKANA HIVI JAMIIFORUMS
Pia UNAWEZA KU BOLD MANENO KWA KUYA WEKA KATIKATI YA [ b ]maneno unayo taka yawe bolded[/b] kumbuka kuto weka nafasi katika hizo helufi b ndani ya mabano
Mfano: JAMIIFORUMS
PIA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI KUJUA KUWEKA PICHA KATIKA THREAD ANAWEZA ULIZA. PICHA KAMA HII
![]()
Thanks MKUU!
Kama unataka Maandishi makubwa
[ size="15"]Thanks MKUU![/size]
Usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani
Thanks MKUU!
Kama unataka Maandishi makubwa
[ size="15"]Thanks MKUU![/size]
Usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani