mgodi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,780
- 1,847
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haaa..
haya nataka kudelete one of my posts...help?
kama unatumia computer, katika hiyo post yako chini upande wa kulia palipo na na maneno [Edit post | Reply Reply | With Quote]
Bofya kitufe cha Edit, moja kwa moja utapelekwa kwenye dirisha linalotumika kuandika post. Ukifika katika dirisha hilo vilevile chini upande wa kulia utaona kitufe chenye kukupa fursa ya kufuta kina neno "Delete". Bofya hapo kuondoa post yako.
sijafanikiwa naona vifuatavyo baaada ya kubofya edit post;
-save,go advanced,cancel
nikienda advanced napata option ya kuedit mpaka post title ila sioni kudelete post
hapo nimekusoma......angalia vizuri. ukikilick edit hamna delete kweli?.
NOTE;
Unaweza kudelete comment lakini sio thread. mwenye uwezo wa kudelete thread ni moderators tu. mia
click here[/:focus:]
Umejtahd mkuu
Ondoa nyota**
- bold ni hivi [b*]text[/b*]
- underline ni hivi text[/u*]
[*]rangi
ni hivi text[/color*][*]
[*]link ni hivi hapa[/url*]
[*]kukata neno... Hi naona inazingua JF[/b]
ila nayo nitext[/s*]
kama unajua code zaidi unaweza tupia

ondoa nyota**
- bold ni hivi [b*]text[/b*]
- underline ni hivi text[/u*]
[*]rangi
ni hivi text[/color*][*]
[*]link ni hivi hapa[/url*]
[*]kukata neno... Hi naona inazingua jf[/b]
ila nayo nitext[/s*]
kama unajua code zaidi unaweza tupia
Ondoa nyota**
- bold ni hivi [b*]text[/b*]
- underline ni hivi text[/u*]
[*]rangi
ni hivi text[/color*][*]
[*]link ni hivi hapa[/url*]
[*]kukata neno... Hi naona inazingua JF[/b]
ila nayo nitext[/s*]
kama unajua code zaidi unaweza tupia