Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natumia browserUnatumia JF application au Unatumia Browser ya Kawaida?
poapoa mkuu nimekusomaUnajua kwa Mobile Browser inakuwa Ngumi inabidi ufuate tu hiyo hiyo uliyofanya. Maana Browser haijawaspecific kwa ajili ya Jf pekee..
Kwahiyo inakuwa vigumu kukupa Njia Rahisi
Nimeweza eti eeehdah ila mkuu [MENTION=40691]RGforever[/MENTION] nashukur trick yako imenifanya niweze kuzijua nyingine kama hivyo ku-quote mara 2 au zaidi na kubadilisha rang comment ya mtu ila kuna nyingine naZitest zinakataa Kudadadeki sijui itakua ni mpaka utumie application ndio ikubali au?
dah ila mkuu RGforever nashukur trick yako imenifanya niweze kuzijua nyingine kama hivyo ku-quote mara 2 au zaidi na kubadilisha rang comment ya mtu ila kuna nyingine naZitest zinakataa Kudadadeki sijui itakua ni mpaka utumie application ndio ikubali au?
ngoja ni cheki hapa itakujajehttps://www.jamiiforums.com/editpost.php?p=10202651&do=editpost
Haa, kumbe imekubali
ewe Mungu jaalia nifaulu na hapaUnajua kwa Mobile Browser inakuwa Ngumi inabidi ufuate tu hiyo hiyo uliyofanya. Maana Browser haijawaspecific kwa ajili ya Jf pekee..
Kwahiyo inakuwa vigumu kukupa Njia Rahisi
Hahahaha HAH hongera mkuu...
du aisee umetisha kama link ya hapo chini
[h=4]jamiiforums.com - shrink your URLs and get paid![/h]
Zinaitwa Launchers... Best kwangu ni hizi
1. Mini Launcher
2. Action launcher
3. Nova launcher
nenda store kadownload ringtone maker, tumia hio kukata miziki yako na kuifanya iwe ringtones. kuna watu wana tabia ya kueka sms tone nyimbo nzima ikiingia tu sms kwake basi ni kero thats why kuna hio limitation.
pia update kwenda wp8.1 (lumia cyan) zitaondoka limitation nyingi itakuwa nzur zaidi
COLORff0000baiCOLOR