For JamiiForums Mobile users

natumia browser

Unajua kwa Mobile Browser inakuwa Ngumi inabidi ufuate tu hiyo hiyo uliyofanya. Maana Browser haijawaspecific kwa ajili ya Jf pekee..

Kwahiyo inakuwa vigumu kukupa Njia Rahisi
 
dah ila mkuu RGforever nashukur trick yako imenifanya niweze kuzijua nyingine kama hivyo ku-quote mara 2 au zaidi na kubadilisha rang comment ya mtu ila kuna nyingine naZitest zinakataa Kudadadeki sijui itakua ni mpaka utumie application ndio ikubali au?
 
Last edited by a moderator:
Nimeweza eti eeeh
 
ku-quote kwa juu
 
Last edited by a moderator:
dah asante mkuu ila hiyo ya ku-quote watu 2 kwa mpigo mwanz ilikua inanigomea(nilikua bado sijapata idea nzuri ) nikajua rabda mpaka utumie application kumbe hata kweny browser imekubali na pia kuna trick moja naona watu wanaifanya ila mm bdo hadi sa iv inanigomea😛opcorn:
Hahahaha HAH hongera mkuu...
 
hapa najaribu kuunganisha comment za thread tofauti halafu naziquote kwa pamoja :flame:
du aisee umetisha kama link ya hapo chini
[h=4]jamiiforums.com - shrink your URLs and get paid![/h]
Zinaitwa Launchers... Best kwangu ni hizi
1. Mini Launcher
2. Action launcher
3. Nova launcher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…