For JamiiForums Mobile users

Salamu nyote, Mkuu nauliza uelezee vile naweza kudownload hizi smileys kama ulizo ziweka hapa, kwa simu yangu kisha kuzitumia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
[HIDE]spoiler text here or some really long paragraph[/HIDE]
 
[HIDE]SHOWCONTENTS text here or some really long paragraph[/HIDE]
 
this text is in the courier font
this text is highlighted
 
Si kila kinachoandikwa jf ni kwa ajili yako. Kama unaona shida kujifunza, wapo waliokuwa wakitamani maarifa haya.

Kama unaona huhitaji kuweka rangi, wenzako wanahitaji.

Kama unaona thread haikufai nenda kwingie hii unaachana nayo.

Na hata mwandishi anajua hili kwamba kuna watu kama wewe ambao hiki kitu hakiwafai na hajakulamishia kutumia. Yeye kawaandikia wanaohitaji!.

Usipate tabu mamaaaaaaaaaaaa!. Asubuhi njema.


Shida yote ya nn,kwan nisipoweka rangi maandishi hayasomeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…