Naombeni kuelekezwa jinsi ya ku-quote post nyingi kwa wakati mmoja, na kupublish details za mtu yaani particulars humu JF. Mfano nataka ku-quote posts za watu wanne tofauti kwenye post yangu na ku-publish tarehe aliyojiunga JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.