Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mkuu huu utundu nawza kutumia hta kwenye facebook au ndo humuhum JF?
picha ni mpaka udownload km unazo kwny gallery huwezi kuziweka hapa??
Kama Unatumia Simu aina ya Android au Yenye iOS unaweza ku download Application ya JF kwenye store ndo utaweza kuweka picha za Kwenye gallery yako ila kama Huna simu zenye uwezo huo tumia njia hii tu