For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

kwa hili somo labda kama sijapitia comments zote ila cha msingi ni kuanda video presentation ndogo tu ambayo itakuwa rahisi kwa vichwa vigumu kama sisi kuelewa , watu ambao akili zetu tunazijua wenyewe
hahahahahahahahaha
 
Hapo kwenye kumention links bado sijaelewa.Mtoa post umetaja tu jumla ya web nzima.Sasa kwa mfano Niko Facebook,nataka niweke link ya JF kule Ila ije moja kwa moja hadi kwenye hii thread na si kukomea kwenye homepage tu ya JF,nafanyaje?
 
Back
Top Bottom